Nauza Laptop

Nauza Laptop

Broooo, Lenovo PC zinazo kuja TZ hakuna kitu. Fuatilia kama upo dar pita mtaa wa Uhuru utajua ninacho kuambia. Sio kama nadharau Lenovo
Hakuna unachokijua kuhusu PC can you pls keep down your f***n a******$..here we arguing about the brand itself and not where its sold or what is coming to TZ.
 
Sio kuzoea Dell na HP. Lenovo hasa hizi za Tz ndio zinaongoza kwa kuwa na Quality ndogo sana.
Za ulaya ni zipi na za Bongo ni zipi? Watu wa Design hii unakuta laptop kaanza kutumia juzi tuu ila ujuaji mwingiiii!
 
Mtu hata Ulaya hajawi fika ila anajifanya bingwa wa kulinganisha vitu vya hapa na Ulaya.
 
Hakuna unachokijua kuhusu PC can you pls keep down your f***n a******$..here we arguing about the brand itself and not where its sold or what is coming to TZ.
Mpe fact mkuu...ila
tapatalk_1537185246215.jpeg
 
Za ulaya ni zipi na za Bongo ni zipi? Watu wa Design hii unakuta laptop kaanza kutumia juzi tuu ila ujuaji mwingiiii!
Mm nimezaliwa nimekuta Computer ipo ndani miaka ya 90 mzee wangu alipewa na wahisani wàke. Nina Bachelor ya Computer science nimeajiriwà Kwenye shirika la uma kubwa na nipo kwenye tender bord ya manunuzi ya shirika. Kitu ninachosema nina experience nacho sijui utasema nini. Hayo ma PC huwezi yakuta popote serikalini. Wew unajua kwann wakati wa uandikishaji wa Voters ID kampuni ya Acer ilishindà tender ya kuteñgenéza pc za kuañdikisha wapiga kura dhidi ya Lenovo ambaye ndio alikuwa competitor mkubwa??

Nenda fnya Survey ya ubora wa Pc fanya relation na bei. Utajua why you shouldn't buy lenovo
 
Mostly Lenovo PC za KKo ni substàndard na wauzaji wanakili hilo wew ni nani ubishe??? Wewe tafuta ujiko kisa umeona dem ndo anauza PC so unatafuta Ujiko. Kama unaona iyo bei anayouza ipo sawa kwa brand kama Lenovo na pili ni Second hand Nunuà wewe boss wangu
 
Mm nimezaliwa nimekuta Computer ipo ndani miaka ya 90 mzee wangu alipewa na wahisani wàke. Nina Bachelor ya Computer science nimeajiriwà Kwenye shirika la uma kubwa na nipo kwenye tender bord ya manunuzi ya shirika. Kitu ninachosema nina experience nacho sijui utasema nini. Hayo ma PC huwezi yakuta popote serikalini. Wew unajua kwann wakati wa uandikishaji wa Voters ID kampuni ya Acer ilishindà tender ya kuteñgenéza pc za kuañdikisha wapiga kura dhidi ya Lenovo ambaye ndio alikuwa competitor mkubwa??

Nenda fnya Survey ya ubora wa Pc fanya relation na bei. Utajua why you shouldn't buy lenovo
1.Baba yako alipewa na wahisani...nilidhani alinunua kwa pesa yake! Hivyo inawezekana wahisani walimpa kifaa duni ili wapunguze gharama zao.
2.Bachelor ya Computer Science na umeajiriwa kwenye haya mashirima yetu ya Umma ambayo wengi wanafahamu hali ya haya Mashirika katika IT ipoje! (Kwa hili sikushangai kwa Comments na hoja zako kuhusu PC)
3. Ushindi wa Tender katika mazingira ya Kibongo auhusiani na ubora wa huduma zaidi ya nguvu ya 10% na rushwa hili kila mtu anafahamu.
4. Kuuzwa kwa sub-standards laptop pale kariakoo hakufanyi Lenovo kama Global Brand kuwa ni PC za hovyo.
5. Narudia kusema kuwa wewe hado hujui mambo ya PC bora utulie tuu na kuacha kupotosha watu na ujinga wako wa hali ya juu katika ufahamu wa PC na ubora wake.
6. I'm not your boss..mimi naweza kuwa zaidi ya Boss wako.
7. Ujuaji haukusaidii mbele ya hadhara
8.Jifunze kujenga hoja.
9. Penda kujifunza kila siku..elimu ni zaidi ya Degree
10. Nakutakia jumapili njema.
 
Safi I like this because watu wa design hii wapo wengi sana humu they think that they know everything,umaweza ukawa na masters degree na bado ukaachwa na sie wa VETA,cha msingi brother you must keep your mind in dynamic motion,under stood? Not only in motion narudia tena you must keep your mind in DYNAMIC MOTION.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom