Nauza Laptop

QueenKong

Member
Sep 20, 2018
28
6
Habari wanabodi,

Nauza laptop yenye specifications zifuatazo:

Operating System: Windows 10 Pro
Processor: Intel Core i3
CPU: 2.0GHz
RAM: 4.00GB
System Type: 64-bit Operating system
Hard Disk: 500GB

BEI 550k
IMG_20180920_141127.jpg
IMG_20180920_141149.jpg
 

Attachments

  • IMG_20180920_141027.jpg
    IMG_20180920_141027.jpg
    130.3 KB · Views: 42
Punguza bei. Iyo bei ni ya Dukani kabisaaaa. Pia jua lenovo ndio brand ya chini sana kwenye PC
 
Inaweza kuwa brand ya chini sana kwa Bongo lakini sio nchi zilizoendelea
Broooo, Lenovo PC zinazo kuja TZ hakuna kitu. Fuatilia kama upo dar pita mtaa wa Uhuru utajua ninacho kuambia. Sio kama nadharau Lenovo
 
Hahahahaha umejuajee? Nakumbuka kipindi flani nililetewa PC ya Dell nyeusi nilishindwa kuiuza sababu Bongo enzi hizo walikuwa wanajua PC lazima iwe Nyeupe rangi ya maziwa...
Labda kama ulienda kuwauzia wasukuma wenzio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom