Sawa mkuu, nenda dukani pc za Kichina hata kwa bei ya chini utapata Core-i5 na haiwezi kushindana na hii mashine.Hapo kama mm kwa bei iyo sinunui hata kidogo ni hora niongeze 49,000/ nikanunue mupyaaa kabisa pale laptop city morocco.ila kwa kuwa ni biashara huria subiri watakuja tu mkuu
Hata 400k kamili hatuwezi fanya biashara, wewe nenda kanunue hizo pc zilizoshindikana kwa mafundi kwa bei yako.
Apite kushoto vipiii na watu tunachagua tulichoona Advertise one sale two,nipe bei ya funguo hiyo [emoji1] [emoji1]
Funguo njoo uchukue bureApite kushoto vipiii na watu tunachagua tulichoona Advertise one sale two,nipe bei ya funguo hiyo [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1]Etii!??wajitia kibopa,badala ya kuuza hiyo laptop pelekea ndugu zako kijijini wasafishie macho
600k mkuu, ila pc za Kichina zipo Core-3 kibao tu hata kwa bei ya chini unaweza pata lakini haiwezi shindana na uwezo Dell2000 maana pc nyingi za Kichina ni kimeoAseeh Ivi mpya ulinunua bei gani mkuu
Acha masihara