Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 2,483
- 5,624
Ndiyo bei za January ama, Mac Book laki 3🙄 ina shida gani mkuu?
Ukikosa mteja niambie niichukue kwa 100kNauza laptop aina ya Mac book kwa tsh. 300k. Kindly DM. Price is fixed.
Hapana!Ukikosa mteja niambie niichukue kwa 100k
Juma nne nikienda ofisiniWeka picha zaidi
Nauza laptop aina ya Mac book kwa tsh. 300k. Kindly DM. Price is fixed.
hahahaNdiyo bei za January ama, Mac Book laki 3🙄 ina shida gani mkuu?
Sure, ya 2012Ya mwaka gani ?
Isijekua ya mwaka 2011, hapa (mwaka) ndio uchawi wa Mac.
Haina ubovu. Ni old model inakaa tu siitumii.Ubovu wake upo sehemu gani hasa?
Hii ya zamani sana, huwezi kuifanyia update nyingi, kupata mteja ni kipengele labda ambaye hajui kabisa computer, sogea machinga complex kachukue 150k au 100k chaap....wenyewe wansuzia ma-dj wa mtaani au spea.Sure, ya 2012
Kumbe! 150k acha tu nikae nayo ndani kama kumbukumbuku!Hii ya zamani sana, huwezi kuifanyia update nyingi, kupata mteja ni kipengele labda ambaye hajui kabisa computer, sogea machinga complex kachukue 150k au 100k chaap....wenyewe wansuzia ma-dj wa mtaani au spea.
Hizi simu jana ni replacement tosha ya hizo laptops.Kumbe! 150k acha tu nikae nayo ndani kama
Mda huongea