Hilo ishakuwa yako. Gari gani hilo linakunywa mafuta kama linamwaga. Ushauri usimuuzie mtu mwenye kipato cha kati. Atashindwa kulihudumia. Serekali yenyewe wanayakimbia sembuse mvuha jasho.2000 Toyota Land Cruiser VX 100 series
Auto diesel 24 Valve Engine 1HDT FTE
BEI: Milioni 29
KM: 200,000
Mawasiliano: 0657 135623
Zaidi: Haijanyooshwa wala kupata ajali. Imelipiwa vibali vyote, Haidaiwi.
Gari ya Diesel hiiHilo ishakuwa yako. Gari gani hilo linakunywa mafuta kama linamwaga. Ushauri usimuuzie mtu mwenye kipato cha kati. Atashindwa kulihudumia. Serekali yenyewe wanayakimbia sembuse mvuha jasho.
Napatashida ku -upload lakini naweza kukutumia kwa whatsappyan ungedondoshea kapicha ingekuwa saf sana