uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,459
Nauza laini ya uwakala Tigo pesa kwa 200000.nipo dar es salaam.
Kwa muitaji Tuwasiliane pm
Kwa muitaji Tuwasiliane pm
Ongeza kidogo mkuu nikuachie.nakuchek pmNikupe 150 kamanda nahitaji iyo line kaka
tuwasiliane no. 0712800085 unapata line upo wapiNikupe 150 kamanda nahitaji iyo line kaka
Uchawi unaanzaga hivi hivi mkuu wabongo wanshangaza sanaSi ungeweka Uzi wako kutafuta wateja.yani wabongo bana
SawaNa Mimi ninayo [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] kama kununa unune tu hakuna namna.