Yah niko tayari,,Upo tayari twende vodashop kubadili usajili, maana wengi wamefanyiwa uhuni, muuzaji anauza halafu anaenda ku-swap kwa madai kuwa amepoteza. Anajirudishia laini aliyouza na pesa zilizomo+kamisheni.
Wanunuaji wa mtaani kuweni makini sana.