Nauza kwanja maeneo Goba kinzudi B

Nauza kwanja maeneo Goba kinzudi B

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
157
Nauza kiwanja kiko maenoe ya kinzudi b ni sehemu tambarare kabisa. kina ukubwa 20x20. kama utaitaji wasiliana nami 0714500004
 
shs ngapi?kiko karibu na barabara ya tangibovu
 
Weka bei na tuambie umbali wake kutokea Tangi bovu au Mwenge
 
kutoka africana ni km 6 kutoka mbuyuni km 7 na kutoka tangibovu sina uhakika sana coz sikupima ila kama ukipitanjia ya kwenda goba unaingilia pale tatedo. bei million 6 tu. barabara ipo mpaka sehemu usika umeme uko karibu sana.
 
Mh nna changu maeneo hayo hayoo khaaa ngoja kesho nikakicheki usijekutwa kinauzwa mie sijui
 
kutoka africana ni km 6 kutoka mbuyuni km 7 na kutoka tangibovu sina uhakika sana coz sikupima ila kama ukipitanjia ya kwenda goba unaingilia pale tatedo. bei million 6 tu. barabara ipo mpaka sehemu usika umeme uko karibu sana.

Million 6? Mbona bei sana kwa mita 20 kwa 20!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom