Nauza kuni kwa wingi/jumla

Nauza kuni kwa wingi/jumla

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,056
Reaction score
15,125
Bei maelewano kwa cubic meter. Kuzingatia gharama ya usafiri n.k. Zinatoka mzega, maeneo yanakosafishwa mashamba, ni kuni za magogo, za kati na wastani n.k.

Karibu PM.
 
mkuu jaribu kuulizia kwenye maviwanda makubwa makubwa
waweza bakhtisha.
 
Back
Top Bottom