Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,862
siuzi nitakupa bureMi nataka papuchi kama discount kama nayo ipo sokoni
Nina kuni nauza zipo Ununio kirikuu nne zinajaa, laki mbili.
Pia kama unauza tofali ninahitaji elf 2000 kesho, bei yangu mia saba.
Hili tangazo mwisho saa nne kesho.
Karibuni sana
wewe unauza sh ngapi?Tofari Tsh. Mia Saba,,,,iyo bei ya mwaka 2010
kwanini unipe bure mkuuMi ninazo tofali 500 ntakupa bure nitafute kupitia tajirimsomi@gmail.com
Sina kazi Nazo, pia nachangia maendeleo yskokwanini unipe bure mkuu
Usikariori ndugu.... tofali za 700 DSM zipo kibao....Tofari Tsh. Mia Saba,,,,iyo bei ya mwaka 2010
Usikariori ndugu.... tofali za 700 DSM zipo kibao....
wewe unauza sh ngapi?
Nina kuni nauza zipo Ununio kirikuu nne zinajaa, laki mbili.
Pia kama unauza tofali ninahitaji elf 2000 kesho, bei yangu mia saba.
Hili tangazo mwisho saa nne kesho.
Karibuni sana
Umekata miti hapo kwenye eneo lako unnataka kuuza si uwagaie bure mama ntilie tu...Tofali 1000 /-acha ubahili zipo kibao au fyatua mwenyewe upate moja kwa 700/-Nina kuni nauza zipo Ununio kirikuu nne zinajaa, laki mbili.
Pia kama unauza tofali ninahitaji elf 2000 kesho, bei yangu mia saba.
Hili tangazo mwisho saa nne kesho.
Karibuni sana
Ni kweli inawezekana. Bei inaendana na ubora..hayo ni yale matofali ambayo ukiyasafirisha wakati wa kushusha robo yanakuwa yamepukutika. simshauri kujengea nyumba ya kuishi.Inawezekana mkuu,,Dar maeneo gani labda boss
nitagawa tu maana mtu umekatwa kwa gharama ya kama laki nne hivi kama kuni hazirudishi hyo hela napeleka kituo cha yatima sifaidishi mtu mimi.kuhusu tofali 1000 sinunuiUmekata miti hapo kwenye eneo lako unnataka kuuza si uwagaie bure mama ntilie tu...Tofali 1000 /-acha ubahili zipo kibao au fyatua mwenyewe upate moja kwa 700/-
nitagawa tu maana mtu umekatwa kwa gharama ya kama laki nne hivi kama kuni hazirudishi hyo hela napeleka kituo cha yatima sifaidishi mtu mimi.kuhusu tofali 1000 sinunui
wewe ?????? au nitazimwagia petrol niziwasheAhahaha,,ufaidishi mtu,,,mi Nna kituo changu cha yatima pale kona ya silver sand hotel, ebu nielekeze nimtume mtu azifuate mtumishi