Nilikuwa nafuga kuku wa mayai, lakini nimepata dharura inayohitaji fedha na hivyo kushindwa kumudu kuwalisha kuku hao wapatao 280 ambao hivi sasa wana miezi mitano na siku yoyote wataanza kutaga.
Endelea tu kutoa matangazo kama unavyofanya hapa, vilevile nenda kwa wafugaji au watu ambao huwa wanafuga kuku wa mayai, nina uhakika kama wapo bora basi mfugaji utakuwa umemrahisishia kazi kuchukua toka kwako
Wanabodi,
Nilikuwa nafuga kuku wa mayai, lakini nimepata dharura inayohitaji fedha na hivyo kushindwa kumudu kuwalisha kuku hao wapatao 280 ambao hivi sasa wana miezi mitano na siku yoyote wataanza kutaga. Ninaweza kuwauza wapi kwa bei ya jumla?
Nilikuwa nafuga kuku wa mayai, lakini nimepata dharura inayohitaji fedha na hivyo kushindwa kumudu kuwalisha kuku hao wapatao 280 ambao hivi sasa wana miezi mitano na siku yoyote wataanza kutaga.