unapatikana wapi mkuu?Wanabodi, naomba niwataarifu kuwa nauza kuku wa kisasa, huu ni mwezi wa nne tangu nianze kuwafuga, Bei yake shs elfu 8, (Tshs 8000) kwa kuku mmoja. MWENYE KUHITAJI nitumie PM
Wanabodi, naomba niwataarifu kuwa nauza kuku wa kisasa, huu ni mwezi wa nne tangu nianze kuwafuga, Bei yake shs elfu 8, (Tshs 8000) kwa kuku mmoja. MWENYE KUHITAJI nitumie PM
Wapo kuku mia 5( 500), nipo Dar es salaam mbezi ya shamba, Sababu za kuuza ni kuwa tangu walipofikisha week ya 12, kuku wameanza kufa kwa siku mmoja hadi wawili, tulienda kumcheki mmoja ikaonekana wana ugonjwa wa 'mareks', hiv sasa17, So nahitaji kuwauza ili ninunue wengine. Hao kuku niliwachukulia pale tazara
Nakushauri wakati unasubiri wateja tafuta dawa ya pullorum uwatibie maana nao unafanana na mareks kidogo. Ubungo mataa kuna duka la dawa wana keproceryl ni nzuri jaribu uone
Pole sana, pale tazara nasikia kuna wahuni wengi sana, kwa miezi mitatu hiyo 8000 bado ni bei ya hasara ila wauze tu kwa nyama uanze upya. Next time usitumie madalali nenda kampuni zenye ofisi na zinazofanya kazi tangu muda mrefu.goodluck