Nauza kuku wa kienyeji

Nauza kuku wa kienyeji

Hello..kama ni pure kienyeji mimi nahitaji mitete kama 10 je utanifanyie bei gani?
 
unapatikana wapi?
wana uzito gani kwa kukisia?
bei gani?

napatikana mbagala,
ni wakubwa na wengi naagiza nje ya dar.
jogoo ni shilingi 13000 na tetea ni shilingi 9500

kama unahitaji wasiliana nami (kwa sms) kupitia namba hizi 0759445700
 
Ili unisafirishie umesema inabidi wawe wengi. Kwako wengi ni kuanzia wangapi? Nipo Kinyerezi
 
ukiwa unampelekea ndugu yangu wa kinyerezi nipitishie majogoo2 wakubwa kuna 20elfu hapa tbt segerea kwa mfojo
 
ukiwa unampelekea ndugu yangu wa kinyerezi nipitishie majogoo2 wakubwa kuna 20elfu hapa tbt segerea kwa mfojo

duuuh Mkuu hebu nambie mfojo bado yupo segerea chama...! nakumbuka Tz, nakumbuka nyumbani
 
mfojo yupo kaka anatupa mishikaki ya maziwa nomaa!
 
Back
Top Bottom