Taja. Bei yakoHabarini wana JF mungu kawapa uzima tena pia ni zawadi tosha kwa anaye yaweza yote.
Nisiende mbali sana ila lengo langu ni kutafuta soko la kuku mikoa ya Dar-es-salaam, Morogoro,Dodoma.
Kwa mawasiliano zaidi njoo DONDOSHA NAMBA YAKO HAPO CHINI
Una bei sana mkuu kha hiyo bei ni bei ya jumla kwa huku dsm..tetea aliye shiba 12000/=
Jogoo aliye shiba 17000/=
Kuna ndugu yangu yupo mwanza anahitaji kuku kwa ajili ya biashara, kuku wengi sasa mbona una bei ye akinunua 17 atauza bei gani?Nipo singida mkuu kama uko tayr ntakuletea ili tufanye biashara ase
Kwa kweli bei Iko Juu kidogo na kwa soko lilivyo itakuwa ngumu kidogo.Kuna ndugu yangu yupo mwanza anahitaji kuku kwa ajili ya biashara, kuku wengi sasa mbona una bei ye akinunua 17 atauza bei gani?