Nauza kuku wa kienyeji 13000 tu

Nauza kuku wa kienyeji 13000 tu

cjilo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
884
Reaction score
448
Nauza kuku wa kienyeji, tembe 13,000 na jogoo ni 15,000 wamebaki wachache.

Kwa mawasiliano 0713419730
 
KAMPENI ZA CCM :
Mwijage:-Baada ya miaka 50 ya
uhuru wa mtanzania,tunakiri
kwamba kuna madhaifu ndani ya
ccm,lkn siafu wakiingia
ndani,tunachukua majivu ya baridi
tunanyunyiza juu ya siafu
wanatoka na nyumba inabaki
salama.....na ktk ilani ya chama
kifungu cha 40 ,tutahakikisha kila
kijiji kinapata umeme wa jua
kupitia grid ya Taifa....
THIS IS COMPLETELY
SHAME....SHAME ON YOU
CCM...LOWASSA IKULU NJIA
NYEUPEEEEEEEEE!!!!!
 
Huu sasa utoto,Yaani Siasa sinafanya watu mnakuwa wajinga namna hii.

Mleta post analeta biashara yake sokoni kwa wahitaji,leo hii mtu unaingiza siasa ili kuharibia mwenzio.
Kwa hali hii,hata aje kiongozi gani bado vijana wengie usingizi wa kusubiria nchi ya Asali na maziwa umewatanda.

Mkuu wawekee watu Picha ya hao kuku au Wastan wa umri wao,au Uzito.
Maana siku hizi watu hawanunui kuku ilimradi kuku tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom