Nauza kuku Jogoo aina ya Kuroiler

Nauza kuku Jogoo aina ya Kuroiler

Joined
May 6, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Habari,

Nawauza kuku jogoo aina ya kuroler (47) kwa bei ya 15,000/= nawauza wote kwa pamoja.

Sababu ya kuu ni kupunguza jogoo ili niwe na ratio nzuri ya jogoo na tetea.

Mahali walipo ni Mbeya Tanzania.

Karibuni sana.

NB: Nawauza wote kwa pamoja.
 
Kamilisha tangazo mbeya sehemu gani??? Na je mnunuzi lazima anunue wote47???
 
Kamilisha tangazo mbeya sehemu gani??? Na je mnunuzi lazima anunue wote47???
Napatikana Igurusi, Mbeya. Unaweza kununua pungufu, ila wakichukuliwa wote kwa pamoja itapendeza.

Kama upo Mbeya mjini, na ukachukua zaidi ya kuku 10, nakuletea hadi ulipo.
 
Back
Top Bottom