Unge weka hapa hap Jf hizo picha. Sio kila mtu anatumia WhatsApp.
70??! .
Jogoo ana kilo ngapi?
Mkuu mi naitaji wa5 ila niuzie kwa 50 @.
Mkuu siwez kwa simu,labda unipe namba halafu nikutumie uziweke japo kuna mdau kashaweka oda ya kuku watano!!
Wakuu nina kuchi majogoo na mitetea,nauza jogoo mkubwa kabisa 70,000/= na mitetea ya kutaga 30,000/=
Kwa picha tuwasiliane ka Whatssap #0719813815
updates:
Wakuu asanteni,nimeshapata oda na kuku wote 11 wamekuwa booked tayari,asanteni!!!
aisee kunak uchi mmoja hapo naona anafanana na WEMAMbona kuku kuchi wanakuwa na bei kubwa kuliko hio70,000 wanamzidi Ngombe.
Kifaranga cha kuku ainaya kuchi indian version Tsh 50,000.
Angalia picha za vifaranga vikubwa bei Tsh 200,000 kwa mmoja.
Picha za wakubwa bei kubwa zaid, but kwa fahari ya macho naweka moja tu
Unapatikana wapi Mkuu nahitaji hiyo mbegu ya Kuchi
nahitaji hiyo mbegu mkuu niko dar nitapataje?