Nauza Korosho!

Nauza Korosho!

rakeyescarl

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2007
Posts
481
Reaction score
147
Wana JF,
Naomba mniunge mkono kunijuza wapi naweza kupata masoko ya ziada.
Katika kujitafutia ajira,nimeamua ku pack Korosho kwa packaging za hali ya juu.Korosho zetu zimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na viwango vya kimataifa.Zote zinatokea Mtwara.
Nina uwezo wa kuuza kiwango chochote na kukuletea mpaka Mlangoni.Zimethibitishwa na TBS na TFDA.
Bei zetu ni ndogo kwa zaidi ya 15% kwa bei zote mnazooona madukani au masokoni na ubora wake ni zaidi ya asilimia 50.Tunalipwa baada ya kukufikishia mzigo na kuridhika na ubora wake.
Kwa mahitaji yako Tuandikie rakeyescarl@yahoo.ie au PM hapa.
Week end njema,
RE.
 
Minimum package ni ujazo gani??
Naweza kupata za Tshs 2,000/- za kutafuna???
 
Mkuu ... unauza korosho ghafi au korosho kama nut biting/snacks
 
Back
Top Bottom