Mwisaki Senior Member Mar 9, 2014 168 54 May 20, 2016 #1 Zipo za kutosha hasa kwa wale wanaotaka kwa bei ya jumla kuanzia kg 100 na kuendelea sihitaji madalali kwani wengi wao ni matapeli whsp no 0714515175
Zipo za kutosha hasa kwa wale wanaotaka kwa bei ya jumla kuanzia kg 100 na kuendelea sihitaji madalali kwani wengi wao ni matapeli whsp no 0714515175
Pritty wa joseph JF-Expert Member Jul 17, 2014 2,379 2,045 May 20, 2016 #2 Ungesema bei ipoje per kg Roasted au non roasted
Mr Hero JF-Expert Member Jun 11, 2015 5,540 7,452 May 20, 2016 #3 Mkuu weka bei kwa kg ikoje? na korosho ipii unayo? na unapatikana wapi?
C Chagga King JF-Expert Member Jul 6, 2011 1,850 1,065 May 25, 2016 #6 nataka nifanye hii biashara, ntakucheki unipe maelekezo
Mwisaki Senior Member Mar 9, 2014 168 54 May 25, 2016 Thread starter #7 Scorpion12 said: Unapatikana wp? Click to expand... Niko temeke mkuu kwa mwasiliano piga no hizo kwenye post
Scorpion12 said: Unapatikana wp? Click to expand... Niko temeke mkuu kwa mwasiliano piga no hizo kwenye post
Mwisaki Senior Member Mar 9, 2014 168 54 May 25, 2016 Thread starter #8 Chagga King said: nataka nifanye hii biashara, ntakucheki unipe maelekezo Click to expand... Poa karibu
Chagga King said: nataka nifanye hii biashara, ntakucheki unipe maelekezo Click to expand... Poa karibu
fakalava JF-Expert Member Jul 16, 2015 4,459 6,027 May 25, 2016 #9 Nikitaka kilo 2 za kutafuna nitapata?
Mwisaki Senior Member Mar 9, 2014 168 54 May 25, 2016 Thread starter #10 fakalava said: Nikitaka kilo 2 za kutafuna nitapata? Click to expand... Uende pale kisutu soko dogo kisha upite kidogo mskt ama uliza korosho za kuookwa kwa jumla natumai utapata hizo za kutafuna
fakalava said: Nikitaka kilo 2 za kutafuna nitapata? Click to expand... Uende pale kisutu soko dogo kisha upite kidogo mskt ama uliza korosho za kuookwa kwa jumla natumai utapata hizo za kutafuna
fakalava JF-Expert Member Jul 16, 2015 4,459 6,027 May 25, 2016 #11 Mwisaki said: Uende pale kisutu soko dogo kisha upite kidogo mskt ama uliza korosho za kuookwa kwa jumla natumai utapata hizo za kutafuna Click to expand... Poa nitawachek.
Mwisaki said: Uende pale kisutu soko dogo kisha upite kidogo mskt ama uliza korosho za kuookwa kwa jumla natumai utapata hizo za kutafuna Click to expand... Poa nitawachek.