nauza kiwanja changu maeneo ya ukonga karakata hatua 17 kwa 20 milion tatu tu,maji yapo na umeme upo,kinafaa kujenga nyumba ya kupangisha au kuishi kwa sababu kipo kwenye makazi ya watu.

Gari linafika lakini sio hadi mlangoni, umeme upo nguzo iko jirani tu,na maji ya dawasco kipo tambarare nauza kwa sababu nataka nisafiri niende masomoni