Nauza kiwanja

Nauza kiwanja

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
2,094
Reaction score
1,376
Kiko maeneo ya tegeta njia ya kwenda wazo wanaita tegeta kwa makamba...ni eneo zuri,maji na barabara pouwa..nauza kwa vile uwezekano wa kurejea bongo kwa wakati huu ni mdogo...ukubwa ni nusu eka na bei ni kuanzia 10m.....ni pm au mpigie mtu wangu wa bongo kwa namba hii 0715060183..
 
20 x 25'...ni changu hakina tatizo lolote..

??????????????
 
20 x 25' ....20' ni urefu wa piece moja ya mbao ya soft wood
 
kwa kifupi ni nusu eka ...hivyo vipimo ni magulu 20 kwa 25 ...urefu kwa upana wandugu,..MPIGIE JAMAA CM ATAKWENDA KUKUONESHA TUU BILA SHIDA.
 
hesabu ya darasa la ngapi hiyo? 70*70 ukigawa kwa 2 unapata 20*25???????
 
Muuza Sura nusu heka ni eneo kubwa sana!! Siyo kama ulivyosema magulu 20 kwa magulu 25 ni sawa na Robo heka uigawe kwa mbili.....
Heka=70m kwa 70m
Nusu Heka=70m kwa 35m
 
labda tatizo ni mahesabu lakini ni nusu eka hilo halina shaka na kiko sehemu nzuri tuu
 
Back
Top Bottom