kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,356
- 789
Natangaza kwa mara nyingine kuuza kiwanja changu kilichopo Malela, Toa ngoma
Ni 2km kutoka barabara kuu itokayo kongowe kuelekea kigamboni upande wa kushoto kama unaelekea kigamboni toka kongowe, unaingilia kituo kinaitwa msikitini.
Kina ukubwa wa futi 65kwa 170, hakijapimwa ila pako survryed karibia na viwanja vilivyopimwa hvo muda wowote patapimwa. Ni kikubwa sana.Bei ni milion kumi(10mil.) Maelewano yapo kidogo, serious buyer ani PM tufanye biashara.karibuni