Nauza Kiwanja - Toa Ngoma

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,220
2,000
Natangaza kwa mara nyingine kuuza kiwanja changu kilichopo Malela, Toa ngoma
Ni 2km kutoka barabara kuu itokayo kongowe kuelekea kigamboni upande wa kushoto kama unaelekea kigamboni toka kongowe, unaingilia kituo kinaitwa msikitini.
Kina ukubwa wa futi 65kwa 170, hakijapimwa ila pako survryed karibia na viwanja vilivyopimwa hvo muda wowote patapimwa. Ni kikubwa sana.Bei ni milion kumi(10mil.) Maelewano yapo kidogo, serious buyer ani PM tufanye biashara.karibuni
 
alikhalef

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
722
225

Vp muonekano wake na barabara ya mtaa? Umeme tayari???
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,424
2,000
Natangaza kwa mara nyingine kuuza kiwanja changu kilichopo Malela, Toa ngoma
Ni 2km kutoka barabara kuu itokayo kongowe kuelekea kigamboni upande wa kushoto kama unaelekea kigamboni toka kongowe, unaingilia kituo kinaitwa msikitini.
Kina ukubwa wa futi 65kwa 170, hakijapimwa ila pako survryed karibia na viwanja vilivyopimwa hvo muda wowote patapimwa. Ni kikubwa sana.Bei ni milion kumi(10mil.) Maelewano yapo kidogo, serious buyer ani PM tufanye biashara.karibuni
Futi 65 ni kikubwa mkuu? Futi 65 ni sawa na 19m! Kiwanja kikubwa ni @ lst 1600m²...Anyway unafika kwenye yale makaburi au mbele yake?
 
kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,220
2,000
Futi 65 ni kikubwa mkuu? Futi 65 ni sawa na 19m! Kiwanja kikubwa ni @ lst 1600m²...Anyway unafika kwenye yale makaburi au mbele yake?
Mbele yake ni kikubwa labda nimechanganya vipimo kaka ila ni kikubwa sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom