Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,612
- 171,540
Una viwanja vingi sana mama lao, ngoja nijichange
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Una viwanja vingi sana mama lao, ngoja nijichange
Ndugu mm nipo cha simba ..juu mlimani karibu na wazo hill kiwanda cha cement...unashuka dawasco unapandisha juu kuelekea wazo.....na mvua ndo hizi tembea upaone ndo uongee...ATA UTIE NUKSI VIPO KIWANJA NITAUZA TU NA VERY SOON I PROMISE U...NA sijui unaumia nn mm nikiuza Mali yangu...MPUMBAVU WW
Mm nitauza tu atake asitakehahahahaha daah amekutia hasira
Poa sana. Ungeweka maelezo sahihi toka awali kwa post yako ungesaidia kujibu MAMBO MENGI. Jifinze kuelezea biashara. Kwetu sikufunzwa matusiNdugu mm nipo cha simba ..juu mlimani karibu na wazo hill kiwanda cha cement...unashuka dawasco unapandisha juu kuelekea wazo.....na mvua ndo hizi tembea upaone ndo uongee...ATA UTIE NUKSI VIPO KIWANJA NITAUZA TU NA VERY SOON I PROMISE U...NA sijui unaumia nn mm nikiuza Mali yangu...MPUMBAVU WW