Nauza kiwanja makongo mwisho

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
545
Reaction score
1,178
Nauza kiwanja makongo mwisho njia kwenda kanisa la katoliki kina ukubwa sqm 2231 bei ni ya kutupa 300m karibu sana eneo tambalale
 
Nauza kiwanja makongo mwisho njia kwenda kanisa la katoliki kina ukubwa sqm 2231 bei ni ya kutupa 300m karibu sana eneo tambalale
hii kitu sidhani kama itakatiza hata week, ni very hot , hongera sana sana
 
Makongo value yake kwasasa ni 150,000 kwa sqm 1
 
Kwa watu qa makongo mlifahamu hilo kama amjui
 
Ni opposite na josam apartment makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…