Nauza kiwanja maeneo ya mbezi makabe

Nauza kiwanja maeneo ya mbezi makabe

MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
4,711
Reaction score
4,236
Kiwanja kinauzwa kwa haraka sana kina ukubwa wa 40 x 30m. kipo karibu na kituo cha daladala. umeme upo. gari linafika hadi kiwanjani. bei 9m mazungumzo yapo
 
Kiwanja kinauzwa kwa haraka sana kina ukubwa wa 40 x 30m. kipo karibu na kituo cha daladala. umeme upo. gari linafika hadi kiwanjani. bei 9m mazungumzo yapo

Kipo makabe sehemu gani? Kwa mzungu, kwa bonge,makabe njia panda au wapi?
 
Unafika Msakuzi? Ipo kwenye kituo cha daladala njia ya morogoro au njia za ndani?
 
Kipo makabe msakuzi mwisho wa daladala za msakuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom