Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,074
- 1,564
- Thread starter
- #21
Ungekuwa unajua eneo lipo basi usinge zungumza hivyo.Porini huko kwa bei hio
Wenye Hela wanajua wanachonunua ni nini.
Ungekuwa unajua eneo lipo basi usinge zungumza hivyo.Porini huko kwa bei hio
Huko Luguruni hicho Kiwanja ni Cha kuijenga nyumba au Jengo au ni Kiwanja Cha Mpira Kama vile Cha Benjamin William Mkapa na Viwanja vya Soka vya Jamhuri vya huko Morogoro na Dodoma???Habari wakuu.
Kwa wale maboss zangu wawekezaji nimewaleta kiwanja ambacho kipo Luguluni mkabala na nyumba ya mkuu wa wilaya ya Ubungo.
Kiwanja kina sifa sifuatizo.
(1) Hati ya wizarani matumizi ya makazi au biashara
(2) Sqm 1380
(3)Kiwanja kinatazamana na. Morogoro Road
(4) Hakuna mgogoro wa Aina yoyote. kama vile (I) mgogoro wa serikari
(II) Mgogoro wa familia
(III) Mgogoro wa kiwanja wa mirathi.
Mmiliki wa kiwanja yupo Hai.
Kiwanja hiki kinauzwa Milion 500.
Unaweza ukajenga
(a) Hotel
(b) Petrol Station
(C) Godown
Kwa hitaji la kwenda kuliona eneo nipigie simu/WhatsApp
📱0754693556View attachment 3273380
Okay vizuri lakini Mwenye kuhitaji ataenda kupaona na atakubaliana na Bei yangu.Huko Luguruni hicho Kiwanja ni Cha kuijenga nyumba au Jengo au ni Kiwanja Cha Mpira Kama vile Cha Benjamin William Mkapa na Viwanja vya Soka vya Jamhuri vya huko Morogoro na Dodoma???
Bei hii ni kubwa sana kupita kiasi ukilinganisha na ukubwa wa kiwanja chenyewe, labda uendelee kusubiri hadi miaka 30 ijayo.
Unaweza ukajenga
(a) Hotel
(b) Petrol Station
(C) Godown
Sio mbaya mkuu Kwa ushauri wako.Kachukulie mkopo ujenge wewe hizo
(a) Hotel
(b) Petrol Station
(c) Godown
Amekupa majibu Gani mkuu?Nimevuka mara kibao huu uzi. Hili eneo nimemtuma mtu kuangalia. Sijui nicomment, ila acha nipite. Naliweka moyoni. Acha nitulie kwanza.