Nauza kiwanja Luguluni milion 500

Nauza kiwanja Luguluni milion 500

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,073
Reaction score
1,563
Habari wakuu.

Kwa wale maboss zangu wawekezaji nimewaleta kiwanja ambacho kipo Luguluni mkabala na nyumba ya mkuu wa wilaya ya Ubungo.

Kiwanja kina sifa sifuatizo.

(1) Hati ya wizarani matumizi ya makazi au biashara

(2) Sqm 1380

(3)Kiwanja kinatazamana na. Morogoro Road

(4) Hakuna mgogoro wa Aina yoyote. kama vile (I) mgogoro wa serikari
(II) Mgogoro wa familia
(III) Mgogoro wa kiwanja wa mirathi.
Mmiliki wa kiwanja yupo Hai.
Kiwanja hiki kinauzwa Milion 500.

Unaweza ukajenga
(a) Hotel
(b) Petrol Station
(C) Godown

Kwa hitaji la kwenda kuliona eneo nipigie simu/WhatsApp
📱0754693556
IMG_20250315_125003.jpg
 

Attachments

  • IMG_20250315_124736.jpg
    IMG_20250315_124736.jpg
    1.9 MB · Views: 16
Mkabala na makazi/ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ubungo ni Morogoro Road kama sikosei. Labda ungesema karibu na/adjacent, hata hivyo ni eneo zuri. Wenye pesa zao lazima wapanunue chap.
Eneo linaangalia barabara kuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom