Hata mimi sinunui lkn nimepita kuchangia tu na kukuombea uuze kiwanja chako.misasa mimi nacomment tu sinunui kiwanja. Kuna mtu hapo juu kaandika maneno ya kashfa.
Nimependa ulivomjibu. Umecheka tu. Dah yaani umenifanya kidogo nilie. Watu wa aina yako wapo wachache sana.
Nakusihi uendelee Na moyo huo huo Na InshaAllah Mungu atakufanyia wepesi hiki kiwanja utakiuza Na kutimiza malengo yako. AAAMIN.
Asante sana mkuu, kwa kunitia moyo watu wa aina hii wapo wengi sana utakiwi kugombana nao mkuumisasa mimi nacomment tu sinunui kiwanja. Kuna mtu hapo juu kaandika maneno ya kashfa.
Nimependa ulivomjibu. Umecheka tu. Dah yaani umenifanya kidogo nilie. Watu wa aina yako wapo wachache sana.
Nakusihi uendelee Na moyo huo huo Na InshaAllah Mungu atakufanyia wepesi hiki kiwanja utakiuza Na kutimiza malengo yako. AAAMIN.
Masikini wewe!Vp mkuu mkoani unatuma?
ww hujui biasharaMasikini wewe!
Mkuu kijichi sehemu gani?Kiwanja kiwanja kipo mtoni kijichi,kina view mkondo wa bahari, kina 2000sqm na kina leseni ya makazi(residential licence) bei 60mil maongezi yapo....pm
Sawa we unajua!ww hujui biashara