Nauza kiwanja kipo Chanika bei rahisi njoo tuelewane


Madihani

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Messages
4,916
Likes
3,590
Points
280
Madihani

Madihani

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2015
4,916 3,590 280
Habari wana Jf.

Bei ni 2.7mil maelewano yapo.

Ukubwa ni mita15*15.

Kilomita moja kutoka barabara ya lami ya Chanika(Kwa wenyeji wa Chanika ni jirani na pale kwa Mzelu(Chabupu) kwa miguu ni mwendo wa dakika 15 tu kwa wastani)

Huduma mhimu kama barabara na umeme vyote vipo.

Mteja unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili hadi tatu kulingana na makubaliano.

Karibuni,kuhusu mawasiliano tuwasiliane PM.

Kwenye picha eneo lenye majani ndio kiwanja chenyewe kinachouzwa.
 
Madihani

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Messages
4,916
Likes
3,590
Points
280
Madihani

Madihani

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2015
4,916 3,590 280
Ni hako kakichaka?
Utoto raha sana,yaani unatumia JF lakini hujui kuwa kichaka kinafyekwa na nyumba ya kisasa inajengwa,mtu unaandika tu kwa raha zako kumbe watu watakuona mjinga.

Nitafyeka baada ya kuuza kwasababu itakuwa rahisi kumlipa mtu wa kufyeka.
 
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Messages
1,317
Likes
455
Points
180
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2012
1,317 455 180
Utoto raha sana,yaani unatumia JF lakini hujui kuwa kichaka kinafyekwa na nyumba ya kisasa inajengwa,mtu unaandika tu kwa raha zako kumbe watu watakuona mjinga.

Nitafyeka baada ya kuuza kwasababu itakuwa rahisi kumlipa.
Jibu swali mkuu
 
Madihani

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Messages
4,916
Likes
3,590
Points
280
Madihani

Madihani

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2015
4,916 3,590 280
Soma post vizuri hadi mwisho,nimeandika hapo kwenye majani ndio kiwanja chenyewe,au umesoma kichwa cha habari tu.
 
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Messages
1,317
Likes
455
Points
180
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2012
1,317 455 180
Nipo buguruni malapa miaka 10 sasa
 
kadinali JM

kadinali JM

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
380
Likes
292
Points
80
Age
36
kadinali JM

kadinali JM

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2016
380 292 80
Mbona naona kama kuna kaburi kwa nyuma, au macho yangu, angalia hicho kitu cheupe imekaa kama msalaba
 
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Messages
1,317
Likes
455
Points
180
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2012
1,317 455 180
Utoto raha sana,yaani unatumia JF lakini hujui kuwa kichaka kinafyekwa na nyumba ya kisasa inajengwa,mtu unaandika tu kwa raha zako kumbe watu watakuona mjinga.

Nitafyeka baada ya kuuza kwasababu itakuwa rahisi kumlipa mtu wa kufyeka.
Nhutangile ndeti futa kauli chafu
 
engine rock

engine rock

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,160
Likes
914
Points
280
engine rock

engine rock

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,160 914 280
Chuku 1.5ml mkuu tumalize leo hii
 
Madihani

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Messages
4,916
Likes
3,590
Points
280
Madihani

Madihani

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2015
4,916 3,590 280
Chuku 1.5ml mkuu tumalize leo hii
Hapana mkuu nilinunua 3mil nimeshusha hadi 2.7mil.

1.5mil hapana bora nile mchanga.
Kama unatoa hio halafu nyingine utamalizia miezi ijayo sawa.
 

Forum statistics

Threads 1,273,092
Members 490,268
Posts 30,471,083