Nauza kiwanja kipo Chanika bei rahisi njoo tuelewane

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,972
6,599
Habari wana Jf.

Bei ni 2.7mil maelewano yapo.

Ukubwa ni mita15*15.

Kilomita moja kutoka barabara ya lami ya Chanika(Kwa wenyeji wa Chanika ni jirani na pale kwa Mzelu(Chabupu) kwa miguu ni mwendo wa dakika 15 tu kwa wastani)

Huduma mhimu kama barabara na umeme vyote vipo.

Mteja unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili hadi tatu kulingana na makubaliano.

Karibuni,kuhusu mawasiliano tuwasiliane PM.

Kwenye picha eneo lenye majani ndio kiwanja chenyewe kinachouzwa.
fff5566cb52b90d7816caa4b917541ca.jpg
9249e0ce0a0b3b1759e1788f3cddd078.jpg
151714dc28eff252a12ada5ef40ce988.jpg
84221241028b9e27b5954f5990148ab4.jpg
3b47078b343bee6e89406cabca12ea2a.jpg
1469cdf1fe7735671426357282388afa.jpg
dd7b8255919199a0e08812d46422a40a.jpg
 
Utoto raha sana,yaani unatumia JF lakini hujui kuwa kichaka kinafyekwa na nyumba ya kisasa inajengwa,mtu unaandika tu kwa raha zako kumbe watu watakuona mjinga.

Nitafyeka baada ya kuuza kwasababu itakuwa rahisi kumlipa.
Jibu swali mkuu
 
Utoto raha sana,yaani unatumia JF lakini hujui kuwa kichaka kinafyekwa na nyumba ya kisasa inajengwa,mtu unaandika tu kwa raha zako kumbe watu watakuona mjinga.

Nitafyeka baada ya kuuza kwasababu itakuwa rahisi kumlipa mtu wa kufyeka.
Nhutangile ndeti futa kauli chafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom