kiwanja kinafikika kwa urahisi kwa njia ya UDSM na makongo juu..kiwanja kizuri hasa kwa makazi.
mawasiliano: 0755416980 au 0688354089
Mkuu embu jifanye kama wewe ndio mteja halafu umekutana na tangazo kama hili lako, utajisikiaje?
Kwani kuna ubaya gani ukiweka japo ukubwa wa kiwanja achilia mbali bei na kama kimepimwa
nimekusoma xfactor..urefu ni 60m square na upana ni arobaini
Bullshit inamaana wewe huelewi anachouliza xfactor.
msitupotezee muda , na tubadilieke: weka bei, ukubwa, eneo, maelezo muhimu mtu akirdhika na hayo ndio atakupigia ; kwa staili hii hatutaendelea
kiwanja kinafikika kwa urahisi kwa njia ya UDSM na makongo juu..kiwanja kizuri hasa kwa makazi.
mawasiliano: 0755416980 au 0688354089
Madalali mna shida sana aisee, unaogopa kuweka bei hapa mwenye Kiwanja akiona umeweka cha juu kingi Itakua msala?
Ukiwa tayari una maelezo kamili kama alivyokuelekeza Kinyau hapo juu nione PM tuongee.
mbona hujibu PM mkuu?kiwanja kinafikika kwa urahisi kwa njia ya UDSM na makongo juu..kiwanja kizuri hasa kwa makazi.
mawasiliano: 0755416980 au 0688354089
Kasema ni milioni ,70
sio open space ndetichia ...
We jamaa una shida bana,vimekatwa in terms of three portions ...lkn sio chini ya million 20 kwa kimoja