chanika holdings
Member
- Mar 16, 2014
- 25
- 3
Ni barabara ya Chanika-Mvuti,karibu kabisa na barabara ya lami iendayo Mbagara kupitia chamazi na ile inayorudi chanika,ni karibu na makazi ya watu,kina ukubwa wa SqM 703,tambalale na sehemu tulivu,bei Milioni 5 bila maongezi.
Kipo pia ambacho hakijapimwa hapohapo kwa shilingi Milioni 1.1
Simu: 0656 33 50 33/0687 97 87 51.
Kipo pia ambacho hakijapimwa hapohapo kwa shilingi Milioni 1.1
Simu: 0656 33 50 33/0687 97 87 51.