ltezi ndio kwa kina Bartez?
Weka hata bei ya kuanzia majadiliano ndugu yangu. Tubadilike Watanzania, ikiwa kama mtu anauza kitu, anapaswa kutoa maelezo yote ikiwamo bei. Tuache tabia za kizamani, ikiwa kama unadhamira ya kweli na unajua thamani ya bidhaa yako, je ni kwanini usiitajie bei hadharani?
Ninakerwa sana!!!!
ubadilike wewe izo ni tabia zako usitake kuhisi kila mtu yupo ivoooWeka hata bei ya kuanzia majadiliano ndugu yangu. Tubadilike Watanzania, ikiwa kama mtu anauza kitu, anapaswa kutoa maelezo yote ikiwamo bei. Tuache tabia za kizamani, ikiwa kama unadhamira ya kweli na unajua thamani ya bidhaa yako, je ni kwanini usiitajie bei hadharani?Ninakerwa sana!!!!
Weka hata bei ya kuanzia majadiliano ndugu yangu. Tubadilike Watanzania, ikiwa kama mtu anauza kitu, anapaswa kutoa maelezo yote ikiwamo bei. Tuache tabia za kizamani, ikiwa kama unadhamira ya kweli na unajua thamani ya bidhaa yako, je ni kwanini usiitajie bei hadharani?
Ninakerwa sana!!!!
Hii ina maana huoni ndugu kaweka 3m tatizo hisomi kwa umakini eti.Nimepata mawazo ya watu wasiokuwa na uzoefu wa masoko (marketing); watu waliyozoea kuuza bidha kama wale vibaka wa Ubungo Mataa au vituo vya mabasi. Iweje useme unauza kitu, kisha ushindwe hata kutoa bei ya awali na mtu akikukumbusha unakasirika, kuuza si siri, tuangalie hata matangazo yanayofanywa na makampuni.
Nimepata mawazo ya watu wasiokuwa na uzoefu wa masoko (marketing); watu waliyozoea kuuza bidha kama wale vibaka wa Ubungo Mataa au vituo vya mabasi. Iweje useme unauza kitu, kisha ushindwe hata kutoa bei ya awali na mtu akikukumbusha unakasirika, kuuza si siri, tuangalie hata matangazo yanayofanywa na makampuni.
Bei si ipo hapo juu tayari. Wabongo mbona tunapenda tabia ya kujifanya wajuaji?
Hutaki unaacha...