Nauza kiwanja eneo la burka kusini Arusha

Ahsante mkuu,

Unajua tena mida imepita bila kufika pande hizo!! Ila napafagilia A-town vibaya sana. Huenda ndo ikawa destination yangu kikazi zaidi huku Dar joto, vumbi, maji shida, mikojo kila sehemu yaani kila aina ya kero zimejaa. Hope nitapata hata kule nyuma ya kisongo.

we ukiwa tayari njoo utapata maeneo ila jipange vizuri.
 
Karibu sana huku
Utapata tuu ardhi bado ipo ya kufaa kuishi na bado maeneo ya meru huko hakujauzwa sana vile vile usa river na tengeru bado kuna viwanja
hata olasiti bado kuna maeneo mazuri tuu ya kuishi
 
Mkuu nashukuru sana, ngoja niweke sawa mambo wewe ndo utakuwa mwenyeji wangu.

Karibu sana huku
Utapata tuu ardhi bado ipo ya kufaa kuishi na bado maeneo ya meru huko hakujauzwa sana vile vile usa river na tengeru bado kuna viwanja
hata olasiti bado kuna maeneo mazuri tuu ya kuishi

Mkuu safi sana, umenikumbusha Tengeru, nafagilia maeneoo hayo sana! kuelekea Carmatec kwa mbele! Ngoja nikija A-town tutaweka mambo sawa wakuu zangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom