Mkuu naambiwa goba mda sio mrefu lami inafika na mkandarasi kashaanza kuandaa site yake ya kuweka mitambo
Du! Tanzania bila vijisent haiwezekani,
umesema milioni saba au?
hujaona vizur ni 70 miliioni angalia vzr pale juu mkuu
million 70,umesema milioni saba au?
Hii industry inahitaji regulator, haiweekani mtu auze kiwanja bei ambayo anaifahamu mwenyewe. Kwani kupima kiwanja shs ngapi mpaka uuze hyo bei??Ladyfurahia basi huenda ni heka 7 sio hizo sq metre
Ni Tshs mill 70 mkuuumesema milioni saba au?
Hii industry inahitaji regulator, haiweekani mtu auze kiwanja bei ambayo anaifahamu mwenyewe. Kwani kupima kiwanja shs ngapi mpaka uuze hyo bei??
Ladyfurahia basi huenda ni heka 7 sio hizo sq metre
Hii industry inahitaji regulator, haiweekani mtu auze kiwanja bei ambayo anaifahamu mwenyewe. Kwani kupima kiwanja shs ngapi mpaka uuze hyo bei??[/QUOTE
Tunaangalia vitu vingi sana kabla mtu hujauza faida na hasara, Hii haiitaji regulator mkuu. Ni very resonable labda uje ukaone ukubwa wa kiwanja na area yenyewe ndo utaelewa.
hahahaha, kiwanja cha ukubwa huohuo hapa mjini sehem zingine utakuta 200M-1Bn, ardhi ni mali, ukiikuta sehem ya bure we chukua tu usisite!
umesema milioni saba au?
mara nyingi tukiwa na pungufu huwa namba inayofuatia haionekani, embu angalia vizuri japokuwa hata mie sikuiona hiyo sifuri baada ya 7
Kwenye viwanja haitaji regulator na unauza bei unayotaka kwa kuwa kazi ya serikali ni kupima viwanja na kuuza kwa wananchi kwa bei nafuu hivyo kama unacho tayari na unataka kusogea nje ya mji unauza kwa faida unakwenda kukamata tena eneo lingine, kwa haraka haraka hicho kiwanja kinaweza kikawa na ukubwa wa 33m X 23 inategemea ambacho ilibaki square metre kidogo tu kiwe medium densityHii industry inahitaji regulator, haiweekani mtu auze kiwanja bei ambayo anaifahamu mwenyewe. Kwani kupima kiwanja shs ngapi mpaka uuze hyo bei??[/QUOTE
Tunaangalia vitu vingi sana kabla mtu hujauza faida na hasara, Hii haiitaji regulator mkuu. Ni very resonable labda uje ukaone ukubwa wa kiwanja na area yenyewe ndo utaelewa.
Sure mkuu hivi vingine vinakwaza sana, hv kweli Goba kwa kuuza sq moja 100,000 kumekuwa Manhattan? Kuna nn cha mno huko?
Habari ya kazi waungwana, Nina kiwanja changu kilichopo Goba Mtambani kimepimwa na kina hati miliki, kina ukubwa wa 756 sq m2 Kipo karibu na Barabara yaani Goba Center, Umeme upo Jirani hakuna gharama zaidi za kuvuta umeme, bei yake inaanzia Tshs 70million kwa maelewano zaidi wasiliana kwenye no 0655 450048 Ila Dalali hatakiwi hata kidogo. Karibuni sana.