CreatureKH
Member
- May 14, 2021
- 42
- 89
Kazole au?Nauza kiwanja changu..kipo vikindu kwa Mzee puga
Ukishuka stend VIKINDU nauli ya bajaji ni 700 hadi site
Futi 48 kwa 54
Bei mil.3
😔Bei hapungui kusema kweli.. ukiwa interested tuongee biashara na msimu mzuri wa kujua viwanja ni huu msimu wa mvua
Hizo futi ndio square metre ngapi? Kina nyaraka gani? Simu yako haipigi picha?Nauza kiwanja changu..kipo vikindu kwa Mzee puga
Ukishuka stend VIKINDU nauli ya bajaji ni 700 hadi site
Futi 48 kwa 54
Bei mil.3
😔Bei hapungui kusema kweli.. ukiwa interested tuongee biashara na msimu mzuri wa kujua viwanja ni huu msimu wa mvua
Nyaraka ni iyo hati ya mauziano tu,Hizo futi ndio square metre ngapi? Kina nyaraka gani? Simu yako haipigi picha?
Ndio nafkir maana Mimi sio mwenyej uko...ila usafr tukipanda ndo tunashukia apo kwa Mzee pugaKazole au?
Aisee cjui lolote kuusu vipimo vya mita au nini.. ila hatua ni izo 50 ambazo watu wanaita futiKuweka vipimo vya Ft ni uhuni tu kwanini usiseme tu ni 14m X 16m.
Asante ila hapana😅
Chukuaa 2.5Nauza kiwanja changu..kipo vikindu kwa Mzee puga
Ukishuka stend VIKINDU nauli ya bajaji ni 700 hadi site
Futi 48 kwa 54
Bei mil.3
😔Bei hapungui kusema kweli.. ukiwa interested tuongee biashara na msimu mzuri wa kujua viwanja ni huu msimu wa mvuaView attachment 3278898
Asante ndugu yangu, ila hapana😊Chukuaa
Mbna gorofa jembamba!!Sqm kama 230, siyo mbaya. Inabidi ujenge ghorofa jembamba.
Weka namba ya simu hapo juu kwenye uziAsante ndugu yangu, ila hapana😊
Aisee cjui lolote kuusu vipimo vya mita au nini.. ila hatua ni izo 50 ambazo watu wanaita futi
Ivo ivo🙏🏾Hizo siyo hatua bali ni futi.
Hatua moja ni sawa na mita 1.
Mita moja ni sawa na futi 3.
Kwa hiyo futi 48 gawanya kwa 3 ni sawa na mita 16, na futi 54 gawa kwa 3 ni sawa na mita 18.
Kwa hiyo kiwanja kina ukubwa wa mita 16 kwa 18.
SawaWeka namba ya simu hapo juu kwenye uzi
Wanaojitafuta fursa hiyo..!!