bullbar
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 360
- 550
Habari zenu mabibi na mabwana,, poleni na majukumu ya kujenga nchi ya wiki nzima. Nakuja kwenu kwa mara nyingine tena nikiwa na tangazo langu la kuuza kiwanja changu ambacho kipo maeneo ya changanyikeni DSM.
MAELEZO YA KIWANJA
1. kiwanja kina ukubwa wa urefu na upaana square meter 30 kwa 20.
2. kipo katika sehemu nzuri ..na kinafaa kwa kujenga nyumba ya kuishi au frame za kupangisha maana kipo njiani karibu na barabara iendayo chuo kikuu ( UDSM) na makongo juu..
3. bei ni kuanzia million 20 na kama unapungufu utaongea .
SABABU YA KUKIUZA KIWANJA
kutokana na matatizo yalio nikumba na yanayoendelea kunisumbua, nikiwa na hali ya shida ya pesa...nimeona nidispose sehemu yangu ili nitatue shida zangu japo si zote.
NB..nikiamini JF ni sehemu pia ambayo inatembelewa na watu wengi na wenye hekima na weledi naamini ntafanikiwa kwa kutumia kama soko.
Tafadhali dalali HATAKIWI...
MAWASILIANO..MAULIZO NA MAELEZO ZAIDI
piga 0755416980 au 0688354089
SERIOUS BUYERS ONLY.