Asee..ukubwa siujui kwa sababu mimi niliuziwa kama kilivyo sikuwahi kupima mkuu kama unahitaji njoo eneo la tukio kagua unachotaka kama kupima njoo upime ukilizika sawa
[emoji23][emoji23][emoji113]ukubwa siujui kwa sababu mimi niliuziwa kama kilivyo sikuwahi kupima mkuu kama unahitaji njoo eneo la tukio kagua unachotaka kama kupima njoo upime ukilizika sawa
Vipimo ni muhimu sana kwenye uuzaji wa eneo. Ni sawa na mtu kusema nauza gari wakati hujui hilo gari lina ukubwa gani. Vipi kama hilo eneo ni mita 15 kwa 10 si kitakuwa ni kichochoro tu.Kama hamna hela simkae kimya yani hivo vipomo navyo hoja
Utauziwaje eneo bila kujua ukubwa wake? Unajua mikataba ya ununuzi wa ardhi inahitaji vitu gani muhimu? Ukubwa wa eneo ndio ina determine hata bei. Hata wakati wa kupewa hati lazima kuwe na vipimo vinavyoonesha ukubwa wa eneo lako. Elimu Elimu ElimuKama hamna hela simkae kimya yani hivo vipomo navyo hoja
Watu uelewa tunatofautiana wengi tu hawajui ukubwa wamaeneo yao zaidi yamipaka mm maana yangu nikwamba kwavyovyote hakuna mtu wakutoa pesa bila kufika saiti hataungejua ukubwa waeneo bado bilakufika huwezi kuamuaVipimo ni muhimu sana kwenye uuzaji wa eneo. Ni sawa na mtu kusema nauza gari wakati hujui hilo gari lina ukubwa gani. Vipi kama hilo eneo ni mita 15 kwa 10 si kitakuwa ni kichochoro tu.
Halafu katika dunia ya sasa huwezi kuuziwa eneo bila kujua ukubwa wake. Kwenye mkataba mtaandikishiana vipi? Kiwanja kinapimwa kwa kuangalia vipimo vyake.
Nimemshangaa sana muuzaji kutojua ukubwa wa eneo analouza ni highest level of stupidity sorry to say
Kwan mkuu kama unahitaji siutaenda sait? Mm ninavojua kununua eneo kunamambo mengi yakuangalia pengine kuliko huo ukubwa kiwanjaUtauziwaje eneo bila kujua ukubwa wake? Unajua mikataba ya ununuzi wa ardhi inahitaji vitu gani muhimu? Ukubwa wa eneo ndio ina determine hata bei. Hata wakati wa kupewa hati lazima kuwe na vipimo vinavyoonesha ukubwa wa eneo lako. Elimu Elimu Elimu
Kama ujui ukubwa wa eneo lako basi jitafakari mara mbili kwenye suala la uelewa na utambuzi katika ubongo wako. Maana kama unaweza ku-access mpk mtandao halafu unashindwa kujua vitu muhimu kama hivyo basi kuna walakini sehemu. Pia uliuziwaje eneo bila kuwa na vipimo? au mligawanyiwa viwanja vya urithi kutoka kwenye mwembe ule hadi kwenye mkoroshoWatu uelewa tunatofautiana wengi tu hawajui ukubwa wamaeneo yao zaidi yamipaka mm maana yangu nikwamba kwavyovyote hakuna mtu wakutoa pesa bila kufika saiti hataungejua ukubwa waeneo bado bilakufika huwezi kuamua
Ukiweka tangazo weka details za uhakika sio kupoteza muda wa mtu aende mpaka site wakati kumbe eneo ni kichochoro tu.Kwan mkuu kama unahitaji siutaenda sait? Mm ninavojua kununua eneo kunamambo mengi yakuangalia pengine kuliko huo ukubwa kiwanja
Nina imani ww nimtanzania tena pengine ni msomi sikatai unachosema napengine unazungumzia kitalaam zaid ninachosema mm nikwamazingira yawatanzania wengi hata huko uliko labda kama uko maeneo yaliyopimwa lakini kama nihuku kwetu wengi hawajui vipimo vyamaeneo yao sisemi sahihi kutokujua ila nasema haikuzuii kuchukua eneo lajamaa au kama unahitaji sana kujua vipimo vyake ili upate kuamua niambie nimtafute huyo mtu nikakupimie au vp mkuuKama ujui ukubwa wa eneo lako basi jitafakari mara mbili kwenye suala la uelewa na utambuzi katika ubongo wako. Maana kama unaweza ku-access mpk mtandao halafu unashindwa kujua vitu muhimu kama hivyo basi kuna walakini sehemu. Pia uliuziwaje eneo bila kuwa na vipimo? au mligawanyiwa viwanja vya urithi kutoka kwenye mwembe ule hadi kwenye mkorosho
Usijari mkuu nisamehe kwauelewa wangu wa aridhi niombee namm mkuu sijapenda uelewa wangu uwe kiwango hikiUkiweka tangazo weka details za uhakika sio kupoteza muda wa mtu aende mpaka site wakati kumbe eneo ni kichochoro tu.
JF iliweka mwongozo wa jinsi ya kuweka tangazo jaribuni kurejea. Eneo unauza wewe halafu vipimo nikapime mimi mteja. Mteja anatakiwa ku-verify sio kuanza kupima
Anyway nahisi naongea na watu ambao uelewa wetu umeachana umbali wa mbingu na ardhi
You are rightVipimo ni muhimu sana kwenye uuzaji wa eneo. Ni sawa na mtu kusema nauza gari wakati hujui hilo gari lina ukubwa gani. Vipi kama hilo eneo ni mita 15 kwa 10 si kitakuwa ni kichochoro tu.
Halafu katika dunia ya sasa huwezi kuuziwa eneo bila kujua ukubwa wake. Kwenye mkataba mtaandikishiana vipi? Kiwanja kinapimwa kwa kuangalia vipimo vyake.
Nimemshangaa sana muuzaji kutojua ukubwa wa eneo analouza ni highest level of stupidity sorry to say