computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 509
- 543
kuna spell za kuzuia chuma ulete? nimekupm tufanye biashara......maana tanzania bila ulinzi shirikishi hutokihabari wanajf nauza origino copy ya kitabu cha uchawi,black magic chenye elimu mbalimbali juu ya uchawi,matambiko,mazindiko na mahirizi,na nyota kimeandikwa na imam alghazliyyi....kwa aliye interested anipm.........thanks in advance
kimeandikwa kwa kiarabu......unaweza tafsiri kwenda kwenye kiswahil......nimekupm mkuu kwa maongezi zaidiis written in swahili?unapatikana wapi?
mi ninavyo vingi nauza kimoja tu..............we hutaki kukitumia?au umeshafuzu?
hhhhhaaaaaahhhhaaa!!!!kuna spell za kuzuia chuma ulete? nimekupm tufanye biashara......maana tanzania bila ulinzi shirikishi hutoki