Nauza kitabu cha biology

mbepo

Member
Feb 27, 2017
28
21
Kwa wanafunzi wa advance na college nauza kitabu cha biology....karibu nipigie kwa namba 0717 550291
 
Hiki alikitangaza tayari. Mimi nilikidownload. Ningeweka hapa, tatizo restrictions ya size ndio inanifanya nisikiweke. Kipo kwenye mtandao ni bure hicho.
 
Cyo sababu kiongoz,den nauza hiki kitabu kwasababu mambo ya xcul hayapo sawa.....ila ckutaka KABISA kuuza
 
KINAITWAJE? MIMI NINACHUKIJUA KUWA NI KITABU KAMILIFU CHA BIOLOGY A LEVEL ni PLANT AND ANIMAL BIOLOGY VOL.1&2 BY VINE AND REES. a. k.a MIKATE VINGINE VILIVYOBAKIA NI SAWA SAWA MA MAGAZETI YA UDAKU
 
weee futa kaur yako
principle of biology,
understanding biology...principle of classfication by TIE
 
Hivyo ni vi hand out ama vijarida mkuu vijana wa kileo wanaviita videsa haviwezi hata ku crack ubongo wako point zipo wazi wazi wewe ni kukariri tuu na unakuwa hauna tofauti yoyote na mtoto wa O- LEVEL
 
KINAITWAJE? MIMI NINACHUKIJUA KUWA NI KITABU KAMILIFU CHA BIOLOGY A LEVEL ni PLANT AND ANIMAL BIOLOGY VOL.1&2 BY VINE AND REES. a. k.a MIKATE VINGINE VILIVYOBAKIA NI SAWA SAWA MA MAGAZETI YA UDAKU
acha ujinga vines & rees zimejaa wadudu wa ajabu ajabu tu, hamna kitu mle, biology ipo kwenye BS na UB
 
Hivyo ni vi hand out ama vijarida mkuu vijana wa kileo wanaviita videsa haviwezi hata ku crack ubongo wako point zipo wazi wazi wewe ni kukariri tuu na unakuwa hauna tofauti yoyote na mtoto wa O- LEVEL
duu
 
KINAITWAJE? MIMI NINACHUKIJUA KUWA NI KITABU KAMILIFU CHA BIOLOGY A LEVEL ni PLANT AND ANIMAL BIOLOGY VOL.1&2 BY VINE AND REES. a. k.a MIKATE VINGINE VILIVYOBAKIA NI SAWA SAWA MA MAGAZETI YA UDAKU
Chang kinaitwa life science biology...kizur cwez kuongeza sifa zaid
 
Mkuu, unakitabu kinaitwa Mkate? Kina voume one na Volume two... Hiki kitabu hata huwa sipendi kukiona maana nakumbuka jinsi advance ilivyonitesa. Najuta kusoma shule ya 'watoto wenye vipaji maalum'... Kule wanafunzi wana akili balaa alafu hawalali... Wao wanachojua ni kusoma tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom