Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,672
- 4,258
king'amuzi cha AZAM kinauzwa
bei-Tsh 100000,piga namba 0762815309
bei-Tsh 100000,piga namba 0762815309
hicho kisumbusi cha azam bomu watu sasahivv wanapiga chanel za bure we unasema mambo ya azam pesa mbele hata chanel za bure
Ningekichukua mkuu serious sema mbeya mbali mno mimi nipo dar.nifundishe namimi mkuu nipate hizo Chanel's buree!maana Hawa jamaa wataniua presha!!!