kinachakachuliwaje?Mzee weka chumba cha watoto wakichezee. Hiyo ni sawa na kutoa damu hospitali huku ukijua kuwa umeathirika. Hiyo damu haiwezi kutmiwa kwa namna yoyote ile. teteteteteteeeeeeeeeeeeeee, ni kama una hasira na hao wachina mkuu.
Ichakachue, nimesikia inasaidia kushika free chennels za kenya na uganda kama ukiichakachua hiyo kitu.
kinachakachuliwaje?
Acha urongo weye hebu tuambie hizo huduma mbovu au hizo huduma mbovu ziko kwako tu tuambie ili tukujuze badala ya kulalamika tu eleza shida na upatiwe ufumbuzi kama kweli wewe una king'amuzi cha Star Timeshakuna huduma mbovu kama za hii kampuni,tupa tu kwa dustbin mkuu
Haujui unachokiongea ww,muonekano wa picha wa startimes hata wafanyeje hauwezi kufanana na dstv,hawa ni next level,nilikuwa na decoder ya star times nimeitoa kwa sababu ya vitu vingi sana ikiwemo picture quality na scratches za myumbo wa antenna kutokana nimeifunga juu sana ili nikamate all channels,lakini sasa nina dstv raha mstarehe picha nnzuri no scratches hata ikinyesha mvuaJamani mbona mimi natumia Startimes tena nakaa mabonde kwinamana napata huduma kama kawaida isje ndio tunalaumu jembe badala ya mkulima,mimi kwangu napata channels bila tatizo na muonekano wake kama hauna tofauti na hiyo Dstv
humu kumejaa Sales personnel wa DSTV. kwa yeyote aliye na DSTV atajua tu Mvua na Mawingu yakianza signal inapotea.Haujui unachokiongea ww,muonekano wa picha wa startimes hata wafanyeje hauwezi kufanana na dstv,hawa ni next level,nilikuwa na decoder ya star times nimeitoa kwa sababu ya vitu vingi sana ikiwemo picture quality na scratches za myumbo wa antenna kutokana nimeifunga juu sana ili nikamate all channels,lakini sasa nina dstv raha mstarehe picha nnzuri no scratches hata ikinyesha mvua
mkuu hiyo ilkuwa zamani sasa hv wamerekebisha mitambo yao pamojaa na decoder zao wanazouza sasa hivi zipo latesthumu kumejaa Sales personnel wa DSTV. kwa yeyote aliye na DSTV atajua tu Mvua na Mawingu yakianza signal inapotea.