nauza king'amuzi cha star times

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Wadau nauza king'amuzi cha star times (kipo kwenye box, kama kipya), kimeshalipiwa miezi mitatu, yaani 19th sept- 19th dec 2011. Bei ni sh elfu sitini tu (60,000). Hakina tatizo lolote. Sababu ya kuuza ni kuupgrade to dstv.

NiPM kama unahitaji. Ntadeliver kokote dsm.
 
Mzee weka chumba cha watoto wakichezee. Hiyo ni sawa na kutoa damu hospitali huku ukijua kuwa umeathirika. Hiyo damu haiwezi kutmiwa kwa namna yoyote ile. teteteteteteeeeeeeeeeeeeee, ni kama una hasira na hao wachina mkuu.

Ichakachue, nimesikia inasaidia kushika free chennels za kenya na uganda kama ukiichakachua hiyo kitu.
 
kinachakachuliwaje?
 
Mi cha kwangu nimeamua kufugia mende kwa hasira niliyokuwa nayo na hawa chinese
 
hakuna huduma mbovu kama za hii kampuni,tupa tu kwa dustbin mkuu
Acha urongo weye hebu tuambie hizo huduma mbovu au hizo huduma mbovu ziko kwako tu tuambie ili tukujuze badala ya kulalamika tu eleza shida na upatiwe ufumbuzi kama kweli wewe una king'amuzi cha Star Times
 
Jamani mbona mimi natumia Startimes tena nakaa mabonde kwinamana napata huduma kama kawaida isje ndio tunalaumu jembe badala ya mkulima,mimi kwangu napata channels bila tatizo na muonekano wake kama hauna tofauti na hiyo Dstv
 
bora ununue dish la local channels angalau utapata channels nzuri za free kuliko za kulipia kwenye star time ujinga mtupu najilaumu sana kununua.
 
Jamani mbona mimi natumia Startimes tena nakaa mabonde kwinamana napata huduma kama kawaida isje ndio tunalaumu jembe badala ya mkulima,mimi kwangu napata channels bila tatizo na muonekano wake kama hauna tofauti na hiyo Dstv
Haujui unachokiongea ww,muonekano wa picha wa startimes hata wafanyeje hauwezi kufanana na dstv,hawa ni next level,nilikuwa na decoder ya star times nimeitoa kwa sababu ya vitu vingi sana ikiwemo picture quality na scratches za myumbo wa antenna kutokana nimeifunga juu sana ili nikamate all channels,lakini sasa nina dstv raha mstarehe picha nnzuri no scratches hata ikinyesha mvua
 
Kama kuna mtu yupo tayari nimpe kigamuzi changu cha startimes anilipe kwa instalment mbili nataka anirudishie pesa tu nilizochakachuliwa na wachina
 
Haujui unachokiongea ww,muonekano wa picha wa startimes hata wafanyeje hauwezi kufanana na dstv,hawa ni next level,nilikuwa na decoder ya star times nimeitoa kwa sababu ya vitu vingi sana ikiwemo picture quality na scratches za myumbo wa antenna kutokana nimeifunga juu sana ili nikamate all channels,lakini sasa nina dstv raha mstarehe picha nnzuri no scratches hata ikinyesha mvua
humu kumejaa Sales personnel wa DSTV. kwa yeyote aliye na DSTV atajua tu Mvua na Mawingu yakianza signal inapotea.
 
humu kumejaa Sales personnel wa DSTV. kwa yeyote aliye na DSTV atajua tu Mvua na Mawingu yakianza signal inapotea.
mkuu hiyo ilkuwa zamani sasa hv wamerekebisha mitambo yao pamojaa na decoder zao wanazouza sasa hivi zipo latest
 
mitambo yao imeungua leo.subili wakileta mitambo mingine ikafanya kazi nakuja kukutoa hela mwenyewe.kwani wewe unakaa wapi?mia
 
Ilikuwaje ukalipia 60,000 zote hizo., halafu design channel za ukweli wazitoa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom