Nauza king'amuzi cha star times 40,000

Nauza king'amuzi cha star times 40,000

Shusha bei,fanya mwekundu pengine utapata mtu,startimes wanaboa mbaya,kuuza hiyo decoder ufanye kazi ya ziada.
 
tuwasiliane basi yawezekana upo bonden sana au kwenye handaki huku nilipokila m2 ana startimes na hawasumbuliwi
 
Mimi nauza Tshs. 10, 000/-, complete pamoja na antenna yake. Kila nikirudi nyumbani nikikiangalia napata hasira. Nimejiunga na Azam TV. Jamaa wako vyema sana! Hakuna cha picha kuganda, hakuna cha no signal, wala hakuna cha not subscribed. Startimes ni matapeli tu.
 
Mkuu mimi nakihitaj hcho kwa hyo bei ya 10,000, nipo Dar namba yangu ni 0712 214 160,unapatikana wap? na pia naomba namba zako ili nikutafute mkuu.
 
Mimi nauza Tshs. 10, 000/-, complete pamoja na antenna yake. Kila nikirudi nyumbani nikikiangalia napata hasira. Nimejiunga na Azam TV. Jamaa wako vyema sana! Hakuna cha picha kuganda, hakuna cha no signal, wala hakuna cha not subscribed. Startimes ni matapeli tu.

nitakupa 15,000

0767379972
 
VP kilishauzwa mana nakihitaji....tel #+255783833255
 
Nakitaka kama hakijapelekwa kwa FUNDI Nipigie no 0716792321 nipo buguruni MALAPA
 
Back
Top Bottom