Nauza king'amuzi cha DSTV bei poa

Nauza king'amuzi cha DSTV bei poa

Mangii

Member
Joined
May 3, 2012
Posts
52
Reaction score
3
Kwa anayehitaji king'amuzi cha dstv bado kipya nimekitumia kama mwezi1 bei 80000
 
yaani shida ya hii dstv, wala sio bei ya manunuzi kuwa kubwa, balaa ni malipo ya kila mwezi!!
 
kumbe vilishuka bei toka laki saba?

Dstv wanavyo bei tofauti tofauti kulingana na quality .. mfano explorer ni bei kubwa kulinganisha na hivi vya kawaida na ina uwezo mkubwa mfano ku rewind vipindi vya tv , ku record n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom