Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 307
Nauza king'amuzi cha azam bei elfu 80000 nipo morogoro bila dish
habr mkuu, nahitaji hiko kingamuzi namimi nipo morogoro, changu kilihalibika limebaki dish lakini nina sh 60,000Nauza king'amuzi cha azam bei elfu 80000 nipo morogoro bila dishView attachment 1212336
Fanya 70000 nikuachie mkuuhabr mkuu, nahitaji hiko kingamuzi namimi nipo morogoro, changu kilihalibika limebaki dish lakini nina sh 60,000
Bado kipo?Nauza king'amuzi cha azam bei elfu 80000 nipo morogoro bila dishView attachment 1212336
Bado kipo?
Nina 60 nipo IringaKipo mkuu
Fanya 70000 mkuu au usafiri utagharamia mwenyewe??Nina 60 nipo Iringa
Usafiri bila shaka ni elfu 5. NitagharimiaFanya 70000 mkuu au usafiri utagharamia mwenyewe??
Kweli mkuu ninavyo viwili nauza kimojaUsiuze, sasa mambo poa
Usafiri bila shaka ni elfu 5. Nitagharimia
PoaHaya mkuu 65 hyo elf 5 ya usafiri kama utaridhia
Haya mkuu mm nataka hyo niloandika hapo yaani 80 elfNina 90k mkuu