Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Pamoja na dish zake ?Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu.
Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane
Ndiyo mkuu, viko full nimevitumia miezi miwili tuPamoja na dish zake ?
Nyakato bossUpo Wap
Nyakato MeccoUpo Wap
Cha azam pekeyake sh ngapi...Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu.
Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane
Ndiyo mkuu compelete na hicho cha juuYote complete ad yan juu au
Nauza vyote pamoja mkuuCha azam pekeyake sh ngapi...
Alf nipe na bei ya hilo ua hapo juu ya hiuo tv showcase
Kuna mtu alinipigia kuvichukua vyote, so ikitokea vinginevyo nitakuchek mkuuUngekuwa unauza kimoja kimoja ninhechukua Cha DSTV aise.AZAM ninacho
Bei
Lakini 3 na nusu mkuu
Mkuu habariKimoja kimoja je?
Mkuu, hiyo bei yako mbona ni bei ya kuzinunua mpya kutoka dukani, azam wanauza 160,000 dstv nao wanauza elf 90 ila saa wana ofa ya elf 60 au 70 kama sijakosea!!!!Kama unahitaji visimbusi hivyo karibu.
Bei kwa vyote viwili ni 230000 kwa aliyeko tayari tafadhari tuwasiliane