Y ymcb Member Joined Mar 26, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Mar 31, 2012 #1 nauza wine ma dompo,saint anna n.k kwa bei chee buku 6300 tuu wanaoititaj mizigo mikubwa niambien
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,167 Reaction score 35,733 Jan 18, 2013 #2 Aiseeee!!! sie wa reja reja?
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Jan 18, 2013 #3 ymcb said: nauza wine ma dompo,saint anna n.k kwa bei chee buku 6300 tuu wanaoititaj mizigo mikubwa niambien Click to expand... unapatikana wapi nikuungishe ndugu
ymcb said: nauza wine ma dompo,saint anna n.k kwa bei chee buku 6300 tuu wanaoititaj mizigo mikubwa niambien Click to expand... unapatikana wapi nikuungishe ndugu
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,663 Reaction score 167,599 Jan 18, 2013 #4 ymcb said: nauza wine ma dompo,saint anna n.k kwa bei chee buku 6300 tuu wanaoititaj mizigo mikubwa niambien Click to expand... Mi nataka chupa moja kubwa
ymcb said: nauza wine ma dompo,saint anna n.k kwa bei chee buku 6300 tuu wanaoititaj mizigo mikubwa niambien Click to expand... Mi nataka chupa moja kubwa
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Jan 18, 2013 #5 Dompo inanipa halijojo......nitakuja kununua st Anna......una st Vincent.....?
H Henry Zared Member Joined Jan 22, 2013 Posts 15 Reaction score 2 Jan 23, 2013 #6 Mkuu mbona husemi uko wapi na unapatikana vipi? hebu weka namba ya simu basi au email.
AMB JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 207 Reaction score 67 Aug 30, 2013 #7 :help:Jamani mwenzenu najifunza kugida,niambieni wine nzuri for beginners! Teh teh
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,630 Aug 30, 2013 #8 wapi dompo?
1 19don JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 672 Reaction score 206 Aug 30, 2013 #9 biashara za humu jukwaani ipo siku tutauziwa bangi maana daah, nikiwaza nabandika tu kabiashara kangu alafu naingia mitini,
biashara za humu jukwaani ipo siku tutauziwa bangi maana daah, nikiwaza nabandika tu kabiashara kangu alafu naingia mitini,
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,099 Reaction score 9,268 Mar 20, 2014 #10 hhahah!hivi huyu mfanya biashara alifia wapi?
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Mar 20, 2014 #11 Bujibuji said: Mi nataka chupa moja kubwa Click to expand... Unataka kama hii??!