nauza kichwa cha redio na sub-woofer

nauza kichwa cha redio na sub-woofer

tata mvoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
534
Reaction score
81
Habari wakuu kama kichwa kinavojieleza nauza kichwa cha redio aina ya aiwa bila spika na subwoofer aina ya sea-piano
Sub-woofer haina redio ni speaker tu na naiuza tshs.50,000/=, aiwa naiuza kwa tshs.100,000/=, redio ya aiwa inatumia cd 3 za audio na ina milango miwili ya kuwekea kanda za kawaida. BEI INAPUNGUA
VITU VYOTE NI USED pia vinafanya kazi vizuri kabisa bila shida.Ukihitaji ni-text hapa 0786404808 au ni-pm.
tataradio.jpgtataradio.jpgtatasub.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom